作词 : Salmin Ismail Hoza 作曲 : Salmin Ismail Hoza KUSAH - HUBA Verse 1 Jamani huba limekolea moto La nichoma vibaya Lataka muda niliwazue vyema Nisifike pabaya Naganda ruba kanikwatua moyo Kanishika pabaya Na Nina muda sijawahi ona Penzi Kama lake Ananifanya ka mtoto Yani binua binua mpaka kwenye ndoto Anang’ataga na Mito Walahy mimi wake Sinyorito (Uyeee aaah aaah ) Limekolea moto limekolea moto Limekolea moto iyooo Mapenzi sikitoto mapenzi si kitoto Mapenzi si kitotooo Chorus Usije basi ukaniacha solo (Mapenzi nayajua aaaah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Wanisema nitaumia) Usije basi ukaniacha solo (Presha itasumbua mama uuyee aah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Mmhyeeiee mmhyeeie) Verse 2 Labda kuna ndumba aah sio bure Au unanikoroga Moyo unanidunda dunda Aah sio bure au unanikoroga Nawaza labda sijiwezi labda Au labda ni mapenzi labda Nawaza labda nikizizi labda Au labda umenigangia dawa Ananifanya ka mtoto Yani binua binua mpaka kwenye ndoto Anang’ataga na Mito Walahy mimi wake Sinyorito (Uyeee aaah aaah ) Limekolea moto limekolea moto Limekolea moto iyooo Mapenzi sikitoto mapenzi si kitoto Mapenzi si kitotooo Chorus Usije basi ukaniacha solo (Mapenzi nayajua aaaah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Wanisema nitaumia) Usije basi ukaniacha solo (Presha itasumbua mama uuyee aah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Mmhyeeiee mmhyeeie) Siri ya Penzi ni kushikana Mimi na we baby kupendana Tukikosea kusameheana Kwenye makosa kuambilizana baby eeh Tusilivunje Penzi Upepo ukazoa likaenda na sunami iyee iyee iyee Chorus Usije basi ukaniacha solo (Mapenzi nayajua aaaah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Wanisema nitaumia) Usije basi ukaniacha solo (Presha itasumbua mama uuyee aah) Mwenzio mimi wataniona kolo (Mmhyeeiee mmhyeeie)编辑于2024/02/07更新