作词 : Marleen Xplastaz/Heri Muziki/Giulia Passera 作曲 : Filippo Quaglia/Raffaele Rebaudengo/Felician Mussa/Mbwana Mtulia MIMI NI MUZIKI UPENDO NA AMANI BINADAMU WOTE NI SAWA, MIMI NI MUZIKI MIMI NI MUZIKI UPENDO NA AMANI BINADAMU WOTE NI SAWA, MIMI NI MUZIKI NJIA YA MATUMAINI, NJIA ASEMA YALIYO FICHIKA, NJIA YA MATUMAINI ASEMA YASIYO SIKIKA, MIMI NI MUZIKI NJIA YA MATUMAINI ASEMA YASIYO SIKIKA, MIMI NI MUZIKI MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA KUELEZA HISIA ZETU MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA KUELEZA HISIA ZETU TWAFIKISHA UJUMBE KUPITIA MUZIKI UJUMBE ULOWAZI KIMAANA NA KIFIKRA MUZIKI UNANIPA HISIA MUZIKI UNANIFANYA NASIKIKA MUZIKI UNANIPA MAISHA MUZIKI NI NJIA AMBAYO TAWEZA KUELEZA HISIA ZETU编辑于2023/12/27更新