INGINE Chorus Ingine, ile ingine Last sato , sio hii ile ingine Niko kejani , sio East ile ingine Nika Dunga Clark’s sio black zile zingine Kalesa nipitie baro ile ingine Uzuri nganya upita njia ile ingine Kushuka Tunnel kwa stage ile ingine Nikapata imeshona niende club ingine Nduthi ikapita nikaitisha ile ingine Pale Blend kwa entrance ile ingine Kumeshona Waiter Akaitisha meza ingine Kuna waiter akadai niiite ule Mwingine Enyewe tray ilikuwa imeshona angeangusha ile ingine Excuse , pombe bado mnauza bei ingine Sahii kuna offer , hii sio bei Hii ndio ingine Seti Remy kwa Rocks na unipe glassi ingine Kurusha macho kwa meza ile ingine Ingine, ile ingine x4 Nikaona bonge la nyama na sio hiyo ingine Lakini alikuwa na jamaa mwingine Nilishawai chapwa chupa sitaki Noma ingine Nika watch Arsenal wakichapwa bao zingine Nikisip tu masip zingine But kuna Mresh kwa Kona ingine Ananifinyia Jicho ingine Namuuliza ni Mimi au ni mtu mwingine Waiter ametumwa Ati ni Mimi sio mwingine Nikamrushia beer mbili na nyama ingine waiter anakam kunishow anadai ingine Roho safi ka Jamal mi na rusha ingine Na memo naonyeswa ingine Nishatext roommate naleta dem mwingine Atafute roommate mwingine au aende kwingine Hajatoa rent ya last month na hiyo Mwezi ingine Ingine, ile ingine x4 Anyways Hiyo ni story ingine Dj anacheza ngoma ya ngoma zingine Na Dancefloor itajaa wataitaji ingine Ule Wangu bado anaonyesha dimple ingine Then mabeste wake Wakajaa wengine Fuliza yangu haitakubali nifulize ingine Nikaona nilipe tujitoe kabla ingine Makarao wako na njaa ingine!! Sasa naita ule dem na kidole ingine Akakam na ule Beste Mwingine Nimshow seti number 0,7 2, 1 na akanipa kiss ingine Nikasema weeeee Wacha na hiyo number ingine Kukatokea bouncer mwingine Ameunga macho moja inacheki kwingine Kumbe Huyu dem ni dem wa Ringtone Ehhh ule mmmoja sio mwingine!!!! Ingine, ile ingine x4编辑于2023/12/25更新