作词 : Khalid Mwarami Mtumbuka 作曲 : Kennedy Joseph Raphael Niambie *3 Baby oohh Sikia My dear Nakuambia Leo narudia Kukupenda nakupenda Pia huenda wanipenda Yani sawa nimekubali Kwa yote kheri nitasubiri Oohh Baby Ooh Natamani kusema nooo Wataka kunitoa rohooo Najikaza kikomandoo Oooh ooh dada Amina Dada Amina oooh Amina we ndo roho yangu Amina mengi nayasikia Amina nashindwa kusema Amina kila aina ya bwana Aminaa unanichanganya Na wengine ndugu zangu Halafu yule paha wangu Halafuu ooh dear nakupenda pia woooh dear nimekuridhia Aminaaa Walisema kizuri ndo chenye dosari leo nakubali kwako sina hali nakupenda kweli Ila niambie Ooohh niambie Amina vile umenimiss niambie Hivi unanipenda kweli niambie Au sikufikishi safari niambie Au bado unatafakari Aminaaa Niambie ooohhh Aawee midfielder ndemla Yoo ajibu ajibu na Ibrahimn ajibu Eyoo keni Mbwa mwitu OG G Aweee Hasan dilunga HD D Awe mwanangu shebelaa chilo Awe simedo mwaidola chilo man chilo man Awee cambiaso Kuna mwanangu chizi kichizi venja chizii编辑于2023/12/21更新